Kocha Nasreddine Mohammed Nabi Atimuliwa Kaizer Chiefs
Kocha Mkuu wa Kaizer Chiefs, Nasreddine Mohammed Nabi, amefukuzwa rasmi leo asubuhi kufuatia matokeo mabaya ya klabu ya Kaizer Chiefs. Uamuzi huu umefuatia kichapo cha mabao 3-1 walichopata kutoka kwa…