Punguzeni Husda, Pira Nuno la Folz Bado Lipo Lipo Sana Jangwani
Tokea kujiunga kwake rasmi nawananchi ‘YANGA’ Julai 14 mwaka huu imekuwa vigumu sana kumuona kocha ‘ROMAN FOLZ’ akiwa anatabasamu au akicheka, kitendo ambacho kimetengeza majina mengi ya utani kwake na…