Edo Kumwembe: Alaumiwe Eng Hersi Kwa Kuleta Yanga Kocha Mwanafunzi
Nani alaumiwe? Anaweza kuwa Injinia Hersi Said mwenyewe. Yanga ilifika fainali za Shirikisho miaka ya karibuni. Yanga ilitolewa robo fainali. Yanga ilitolewa pia makundi. Hersi anajua ndoto za Wanayanga. Huwa…