Kocha Gamondi ni Chaguo Sahihi Kuifundisha Taifa Stars Kwa Sasa….
Haya ni maamuzi magumu ambayo yamefanywa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF ya kuachana na Hemed Morocco Ukiacha maamuzi magumu pia wamefanya chaguo sahihi la kumchukua Miguel angel…
Adui wa Yanga Arejea Nchini, Yanga Washikwa na Kimuyemuye, Simba Yatajwa
Aliyekuwa Nyota wa Simba Arejea Tanzania! Safari Hii Anakuja Kuwakabili Yanga — Moto Unawaka CAF Champions League! Mashabiki wa soka nchini Tanzania wanapaswa kujiandaa kwa burudani ya moto katika Ligi…
Kunani ? TFF Yavunja Mkataba na Kocha Morocco Kuifundisha Taifa Stars
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Kocha wa Singida Black Stars, Miguel Angel Gamondi raia wa Argentina kuwa Kaimu kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa…
TFF Yamteua Miguel Gamondi Kuinoa Taifa Stars kuelekea AFCON 2025
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Kocha wa Singida Black Stars, Miguel Angel Gamondi raia wa Argentina kuwa Kaimu kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa…
Hii Hapa Ratiba ya Simba Ligi ya Mabingwa Afrika Makundi
Timu ya Simba SC ya Tanzania imepangwa katika kundi D la michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) na itaanza kampeni zake kwa kukutana na Petro Luanda ya…
Bodi ya Ligi ya TPLB Yatoa Taarifa Hii Muhimu Ligi Kuu
Baada ya Bodi ya Ligi ya TPLB kutoa taarifa ya awali ya kusimamisha Ligi Kuu ya TPL, leo Bodi ya Ligi Kuu ya NBC imezitangaza rasmi timu zote za Ligi…
Mastaa wa Yanga Wajikombea Shilingi Milioni 210 Kisa Silver Strikers
BAADA ya Yanga kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, mabosi wa klabu hiyo wamewatunuku mastaa wa kikosi hicho Sh200 milioni kufuatia kazi kubwa waliyoifanya. Yanga ambayo ilikuwa…
Matokeo Yanga Vs Mtibwa, Zimbwe na Ecua Mashujaa, Uchambuzi wa Michezo Kwa Ufupi
Anaandika @kevinrabson_ ✍🏼 Yanga na muundo wao wa 4-2-3-1 bila mpira na wakati wanaanza build up yao wanakuwa na muundo wa 2-4-3-1 na walifanikiwa kuivuka pressing ya Mtibwa wakati wanazuia…
Hawa hapa Wapinzani wa Yanga na Simba Ligi ya Mabingwa CAF
WAKATI Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) likitangaza Novemba 3, 2025 litachezesha droo ya upangaji wa makundi na ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika, imefahamika wapinzani wanaoweza kukutana na…
Simba na Yanga Kila Mmoja Kutia Mfukoni Dola 700,000, Azam na Singida na Usipime
Kati ya vitu ambavyo vina pesa basi ni eneo la burudani hasa soka. Fikiria mishahara ya wachezaji kwasasa hapa Tanzania halafu kule Ulaya. Tanzania kwasasa kuna wachezaji wanalipwa pesa zaidi…