Timu ya Nigeria Siku Hizi Hakuna Kitu, Wachapwa na Congo Kumbe la Dunia Play Off

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 | PenaltiesNIGERIA 🇳🇬 3-4 DR CONGO 🇨🇩❎️ Bassey❎️ Simon✅️ Adams✅️ Onyemechi✅️ Ejuke❎️ Ajayi. ❎️ Moutoussamy✅️ Sadiki❎️️ Tuanzebe✅️ Mayele✅️ Balikwisha✅️ Mbemba DR Congo 🇨🇩 wametoboa na sasa wanaendelea na PlayOff kama wawakilishi wa Afrika kwenye Intercontinental PlayOff

Read More

Kapombe Fungu la Kukosa, Atupwa Nje Mchezaji Bora Afrika, Fiston Mayele Aingia Tatu Bora

Nahodha wa Simba Sc, Shomari Kapombe ameondolewa kwenye kinyang’anyiro cha wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashindano ya Klabu za Afrika wa mwaka 2025 huku Fiston Kalala Mayele akiendelea kusalia kwenye kinyang’anyiro hicho. Mayele anayechezea Pyramids ya Misri ni miongoni mwa wachezaji watatu wanaowania tuzo hiyo sambamba naMohamed Chibi pia wa Pyramids na Oussama Lamlioui…

Read More

Habari Njema Kwa Yanga, Clement Mzize Aonekana Akifanya Mazoezi

Habari njema imewajia mashabiki wa klabu ya Young Africans kufuatia kuonekana kwa kiungo wao mahiri Clement Mzinze akifanya mazoezi mepesi baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na majeraha. Kuonekana kwake uwanjani kumezua matumaini makubwa na ishara kwamba furaha ya wananchi huenda ikarejea mapema zaidi ya ilivyotarajiwa. Mzinze, ambaye ni mmoja wa…

Read More

Mshambuliaji wa Simba Steven Mukwala Kutimkia Raja Casablanca

Mshambuliaji matata wa Simba SC, Steven Mukwala, anadaiwa kuwa mbioni kutua Raja Casablanca ya Morocco katika dirisha dogo la usajili. Inaelezwa kuwa kocha wa Raja, Fadlu Davids, ambaye aliwahi kumfundisha Simba, ndiye anayepanga “kumpora” nyota huyo kutoka Msimbazi. Vyanzo vya karibu na klabu vinaeleza kuwa Simba wako tayari kumuachia Mukwala kutokana na uwepo wa washambuliaji…

Read More