Klabu ya Soka ya Tabora United Yanunuliwa na TRA, Sasa Kuitwa TRA United Sports Club
Klabu ya soka ya Tabora United inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara imeuzwa kwa Mamlaka ya kukusanya Mapato Tanzania (TRA) na sasa itajulikana kama TRA UNITED SPORTS CLUB Klabu…