Ahmed Ally: Yanga Hawana Lolote, Wanataka Kuweka Watu wao TFF
Ahmed Ally: Yanga Hawana Lolote, Wanataka Kuweka Watu wao TFF Nimepitia kwa utulivu matakwa ya Nyuma Mwiko waliyowasilisha Bodi ya Ligi nimeona kuna usela mwingi baadala ya hoja za msingi…