Aishi Manula Ndio Kipa Aliyeruhusu Magoli Mengi
Aishi Manula Ndio Kipa Aliyeruhusu Magoli Mengi Nyota wa Simba, Aishi Manula ndiye kipa wa mwisho wa timu hiyo kufungwa mabao mengi zaidi ya Ligi Kuu katika mechi ya ‘Kariakoo…
Tunakuletea Habari Mbali Mbali za Michezo Kutoka Tanzania
Aishi Manula Ndio Kipa Aliyeruhusu Magoli Mengi Nyota wa Simba, Aishi Manula ndiye kipa wa mwisho wa timu hiyo kufungwa mabao mengi zaidi ya Ligi Kuu katika mechi ya ‘Kariakoo…
BAADA ya kuwepo kwa tetesi za muda mrefu Yanga kuhitaji huduma ya kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola inadaiwa amemalizana na klabu hiyo kwa kupewa mkataba wa miaka miwili,…
KOCHA wa zamani Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa miongoni mwa timu hatari zijazo katika Ligi Kuu Bara ni Singida Black Stars. “Nilisema kuwa Singida itakuwa timu tishio na taratibu naona…
Mwanasoka wa Argentina Enzo Pittau amefariki Dunia baada ya kuanguka Uwanjani dakika ya 41 ya kipindi cha kwanza cha mchezo kwa mshtuko wa Moyo. Kabla ya hayo yote kutokea, alitumia…
Mabosi wa Azam EC wameanza mipango ya kuimarisha kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao ikielezwa ipohatua ya mwisho kumsainisha mkataba, kipa wa Aishi Manula, sambamba na kumbeba kiungo mahiri…
Mshambuliaji wa klabu ya Singida Black Stars, Jonathan Sowah ametozwa faini ya Tsh milioni moja kwa kosa la kuwaonesha ishara ya matusi mashabiki wa klabu ya Simba waliokuwa jukwaani, pamoja…
WAKATI joto la pambano la Dabi ya Kariakoo likiendelea kupanda kwa mashabiki wa soka nchini, Kocha wa Yanga, Miloud Hamdi amevunja ukimya na kuweka bayana kwamba kwa sasa anaendelea kuwaandaa…
Katika kikao cha Juni 2, 2025 cha Kamati ya Udhibiti na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB), masuala mbalimbali ya ligi yalijadiliwa, na kutoa maamuzi kadhaa kwa ajili ya utendaji…
Yanga Wasipocheza, Simba Bingwa 24/25 Kufuatia Yanga kushikilia msimamo wa kutocheza mechi hiyo ya dabi, inaweza kuwa nafasi kubwa kwa Simba kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu..Yanga inabanwa na…
Mwenyekiti wa bodi ya ligi Steven Mguto amethibitisha taarifa za kujiuzulu kwa aliyekua mjumbe wa kamati ya masaa 72 ndugu George Mayawa ambaye taarifa zake zilianza kutolewa tangu siku ya…