Senzo Afichua Utaratibu wa Timu za Tanzania
“Tanzania, unakuwa shujaa pale unapo wasili, unakuwa shujaa wakati unashinda na unakuwa kama mfalme wakati unaleta makombe kwenye timu, lakini ikiwa hautafikia mafanikio yoyote, mashabiki na Viongozi wanaungana na hawatakuwa…