🔴 #LIVE: Sakata la TFF na Yanga Lapamba Moto Kila Mmoja Avutia Kwake Lajadiliwa Bungeni Sports Arena
🔴 #LIVE:SAKATA LA TFF NA YANGA LAPAMBA MOTO KILA MMOJA AVUTIA KWAKE LAJADILIWA BUNGENI SPORTS ARENA
🔴 #LIVE:SAKATA LA TFF NA YANGA LAPAMBA MOTO KILA MMOJA AVUTIA KWAKE LAJADILIWA BUNGENI SPORTS ARENA
Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Yanga Andre Mtine baada ya kutoka Ofisi za TFF ameendelea kusisitiza msimamo wao kama klabu ni kulipwa fedha za zawadi ya bingwa wa Kombe la…
Ahmed Ally: Yanga Hawana Lolote, Wanataka Kuweka Watu wao TFF Nimepitia kwa utulivu matakwa ya Nyuma Mwiko waliyowasilisha Bodi ya Ligi nimeona kuna usela mwingi baadala ya hoja za msingi…
Wasafi Sports Arena: Yanga na TFF Hapakaliki, Deni Laibua Mapya, Simba Waitaka Dabi
Simba Wafanya Maamuzi Magumu, Augustine Okejepher Kupewa Thank You Kiungo mkabaji wa Club ya Simba Augustine Okejepher hatokuwa sehemu ya Kikosi cha Simba msimu ujao mara baada ya uongozi wa…
Maskini Mzize, Wingi wa Mawakala Watibua Deal Lake Zamaleki Klabu ya Zamalek ya Misri, imesimamisha rasmi kwa muda mchakato mzima wa kunasa saini mshambuliaji nyota wa Yanga, Clement Mzize baada…
Yanga Waijibu Tena TFF, Hatujalipwa Misimu Mitatu Klabu ya Young Africans SC kupitia taarifa yake imeeleza wazi kuwa haijawahi kupokea malipo yoyote ya zawadi ya ubingwa wa Kombe la Shirikisho…
Nandy Baada ya Kushambuliwa Aongea Ukweli Jinsi Alivyopoteza Pete Zake za ndoa
PRESS | Ally Kamwe “Uongozi wa Yanga umeweka Takwa la kujiuzulu kwa Katibu mkuu wa TFF Wilfred Kidao kwa sababu , wote tumeona namna msimu huu umemekuwa na maamuzi ya…
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe kwenye mkutano wake na waandishi wa Habari uliofanyika leo Juni 9, 2025 katika makao makuu ya klabu hiyo amesema kuwa klabu hiyo…