Kocha Romain Folz Awa Mbogo, Awakalisha Chini Wachezaji Yanga Waliocheza Kipindi cha Kwanza na Pamba Jiji
YANGA imeanza kwa kishindo Ligi Kuu kwa kushinda mabao 3-0 dhidi ya Pamba, lakini baada ya mchezo huo kumalizika Kocha Romain Folz alijifungia na mastaa na kuwawashia moto. Folz alikuwa…