Timu Zilizofuzu Kucheza Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa CAF 2025/26
Simba na Yanga Wawasha Moto Afrika! Wamefuzu Makundi CAF Champions League 2025/26 – Lakini Ni Nani Atakayemaliza Kazi ya Mwisho? Mashabiki wa soka barani Afrika wameingia kwenye hamasa kubwa baada…
Timu 16 Zilizofuzu Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika 2025/6
CAF Confederation Cup 2025/26 Yazidi Kuchachuka! Azam, Singida na Vigogo Wengine Watinga Makundi – Vita ya Afrika Yaiva Ni rasmi sasa! Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza majina ya…
Ali Kamwe Aguswa na Hali ya PRINCE DUBE, Afunguka Haya Kumpa Moyo
Imani ni kwake Baba aliye juu Mbinguni, Prince. Kuna nyakati Mwanadamu unaweka sana jitihada kwenye Maisha, unavuja jasho lako lote, unatumia nguvu zako na uwezo wako wa kila aina, lakini…
Silver Strikers Yaipandisha Yanga Viwango vya CAF, Yaingia Top 10
Baada ya kufanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) kwa msimu wa 2025/26, Klabu ya Yanga SC imeandika historia mpya katika soka la Tanzania.…
Simba Yafuzu Makundi, Tanzania Yaweka Rekodi Kuingiza Timu 4 Michuano ya CAF
Kwa mara ya kwanza Tanzania imepeleka timu nne kwenye hatua ya makundi ya michuano iliyopo chini ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) baada ya Simba Sc, timu mbili kwenye kombe…
Singida BS yatinga makundi CAF, Chama aandika historia
Dar es Salaam. Singida Black Stars imetinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, baada ya kuifunga Flambeau du Centre ya Burundi mabao 3-1, katika mechi ya mkondo…
Rasmi: Yanga Wamtambulisha Kocha Huyu Hapa
DAR ES SALAAM; KITENDAWILI cha nani atakuwa Kocha Mkuu mpya wa timu ya Yanga ya Dar es Salaam, kimetegulies usiku huu baada ya klabu hiyo kutambulisha Pedro Gonçalves raia wa…
Rasmi: Yanga Wamtambulisha Kocha Huyu Hapa
DAR ES SALAAM; KITENDAWILI cha nani atakuwa Kocha Mkuu mpya wa timu ya Yanga ya Dar es Salaam, kimetegulies usiku huu baada ya klabu hiyo kutambulisha Pedro Gonçalves raia wa…
BREAKING NEWS: Yanga wamemuajiri kocha wa zamani wa Sporting Lisbon
🚨🚨BREAKING NEWS: Yanga wamemuajiri kocha wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon,De Agosto na timu ya taifa ya Angola,Pedro Valdemar Soares Gonçalves (49). Kama nilivyoripoti jana kwamba Pira Ureno linakuja…
Azizi Ki Azua Gumzo Huko Wydad Ac Baada Ya Kufanya Jambo Hili Mashabiki Wabaki Midomo Wazi
Azizi Ki Azua Gumzo Huko Wydad Ac Baada Ya Kufanya Jambo Hili Mashabiki Wabaki Midomo WaziALUNEWSOct 25, 2025 6:13 AMWydad Casablanca wamejiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu hatua ya makundi…