Shaffih Dauda: Kocha Fadlu Davis Hana Deni Timu ya Simba
Leo ni Siku nyingine ya kuwakumbusha umuhimu wa kumshirikisha Kocha kwenye usajili Simba SC ya Meneja Pantev , ndio Simba hii hii ambayo kwa majuma kadhaa nyuma ilikuwa chini ya…
Edo Kumwembe: Alaumiwe Eng Hersi Kwa Kuleta Yanga Kocha Mwanafunzi
Edo Kumwembe: Alaumiwe Eng Hersi Kwa Kuleta Yanga Kocha Mwanafunzi Nani alaumiwe? Anaweza kuwa Injinia Hersi Said mwenyewe. Yanga ilifika fainali za Shirikisho miaka ya karibuni. Yanga ilitolewa robo fainali.…
Senzo Afichua Utaratibu wa Timu za Tanzania
“Tanzania, unakuwa shujaa pale unapo wasili, unakuwa shujaa wakati unashinda na unakuwa kama mfalme wakati unaleta makombe kwenye timu, lakini ikiwa hautafikia mafanikio yoyote, mashabiki na Viongozi wanaungana na hawatakuwa…
Senzo Afichua Utaratibu wa Timu za Tanzania
“Tanzania, unakuwa shujaa pale unapo wasili, unakuwa shujaa wakati unashinda na unakuwa kama mfalme wakati unaleta makombe kwenye timu, lakini ikiwa hautafikia mafanikio yoyote, mashabiki na Viongozi wanaungana na hawatakuwa…
Mchezaji Atekwa na Kuuawa Senegal Baada ya Familia Kushindwa Kulipa Ransom
Kipa kinda wa soka wa Senegal Cheikh Toure (18) ametekwa na kuuwawa na watu wasiojulikana baada ya kumtengenezea mtego kuwa anaenda kufanya majaribio ya soka la kulipwa. Cheikh ametekwa na…
Kocha wa Yanga Apewa Thanks Klabu ya Ismaily SC
Klabu ya Ismaily SC kutoka nchini Misri imechukua uamuzi mzito wa kumtimua kocha wake, Miloud Hamdi, kufuatia mwenendo mbaya wa timu hiyo tangu aanze kuitumikia. Uongozi wa klabu hiyo umesema…
Edo Kumwembe: Alaumiwe Eng Hersi Kwa Kuleta Yanga Kocha Mwanafunzi
Nani alaumiwe? Anaweza kuwa Injinia Hersi Said mwenyewe. Yanga ilifika fainali za Shirikisho miaka ya karibuni. Yanga ilitolewa robo fainali. Yanga ilitolewa pia makundi. Hersi anajua ndoto za Wanayanga. Huwa…
Ali Kamwe; Wananchi Tulieni Tunakuja na Comeback ya Nguvu Kwa Mkapa
Anaandika Msemaji Wa #yanga @alikamwe Jana, Mashabiki Tulifanya jukumu letu. Kwa mara ya kwanza, Wamalawi walishuhudia Timu ya ugenini ikiwa na mashabiki wengi Jukwaani kuliko timu yao ya nyumbani. Hawajawahi…
Mambo Magumu Jangwani, Yanga Yamtimua Kocha Romain Folz
Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja mkataba na Kocha Mkuu, Romain Folz. Uamuzi huo umekuja saa chache baada ya kupoteza mchezo kwa kufungwa ugenini na Silver Strikers bao 1-0 katika…
Yanga Yapigwa Malawi Ligi ya Mabingwa CAF
Wananchi, Young Africans Sc wameanza hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kwa kipigo kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Malawi. Mchezo…