🔴LIVE: Bodi ya Ligi na Yanga Wakutana Kujadili Dadi/Yanga Wakataza? Sports Arena Wasafi 9/6/2025
🔴LIVE: Bodi ya Ligi na Yanga Wakutana Kujadili Dadi/Yanga Wakataza? Sports Arena Wasafi 9/6/2025 🔴 #LIVE: BODI YA LIGI NA YANGA WAKUTANA KUJADILI DABI / YANGA WATAKAZA? (SPORTS ARENA 9/6/2025)
Aishi Manula Ndio Kipa Aliyeruhusu Magoli Mengi
Aishi Manula Ndio Kipa Aliyeruhusu Magoli Mengi Nyota wa Simba, Aishi Manula ndiye kipa wa mwisho wa timu hiyo kufungwa mabao mengi zaidi ya Ligi Kuu katika mechi ya ‘Kariakoo…
Offen Chikola wa Tabora United Amalizana na Yanga
BAADA ya kuwepo kwa tetesi za muda mrefu Yanga kuhitaji huduma ya kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola inadaiwa amemalizana na klabu hiyo kwa kupewa mkataba wa miaka miwili,…
Kocha Nabi: Singida Black Stars ni Moja ya Timu Hatari Zijazo
KOCHA wa zamani Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa miongoni mwa timu hatari zijazo katika Ligi Kuu Bara ni Singida Black Stars. “Nilisema kuwa Singida itakuwa timu tishio na taratibu naona…
Mchezaji Afariki Kwa Mshtuko wa Moyo Uwanjani Argentina
Mwanasoka wa Argentina Enzo Pittau amefariki Dunia baada ya kuanguka Uwanjani dakika ya 41 ya kipindi cha kwanza cha mchezo kwa mshtuko wa Moyo. Kabla ya hayo yote kutokea, alitumia…
Golikipa Manula Huyo Njia Nyeupe Azam FC
Mabosi wa Azam EC wameanza mipango ya kuimarisha kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao ikielezwa ipohatua ya mwisho kumsainisha mkataba, kipa wa Aishi Manula, sambamba na kumbeba kiungo mahiri…
Sowah Atozwa Milion Moja Kwa Utovu wa Nidhamu
Mshambuliaji wa klabu ya Singida Black Stars, Jonathan Sowah ametozwa faini ya Tsh milioni moja kwa kosa la kuwaonesha ishara ya matusi mashabiki wa klabu ya Simba waliokuwa jukwaani, pamoja…
Kocha Yanga: Tumebakiza Mechi Mbili tu Ligi Kuu, ya Simba Haipo
WAKATI joto la pambano la Dabi ya Kariakoo likiendelea kupanda kwa mashabiki wa soka nchini, Kocha wa Yanga, Miloud Hamdi amevunja ukimya na kuweka bayana kwamba kwa sasa anaendelea kuwaandaa…
Bodi ya Ligi Yatoa Taarifa Hii Mpya Kwa Umma…
Katika kikao cha Juni 2, 2025 cha Kamati ya Udhibiti na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB), masuala mbalimbali ya ligi yalijadiliwa, na kutoa maamuzi kadhaa kwa ajili ya utendaji…
Yanga Wasipocheza, Simba Bingwa 2024/25
Yanga Wasipocheza, Simba Bingwa 24/25 Kufuatia Yanga kushikilia msimamo wa kutocheza mechi hiyo ya dabi, inaweza kuwa nafasi kubwa kwa Simba kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu..Yanga inabanwa na…