Za Ndanii Kabisa, Yanga Watuma Shushu Algeria Kuwasoma CR Belouizdad Kimya Kimya

 

Za Ndanii Kabisa, Yanga Watuma Shushu Algeria Kuwasoma  CR Belouizdad Kimya Kimya

Taarifa za kuaminika ni kuwa mchambuzi wa video (video analyst) wa Klabu ya Yanga, Khalil Ben Youssef alishawasili nchini Algeria wiki mbili zilizopita tayari kwa kuisoma klabu ya CR Belouizdad.

CR Belouizdad ni wapinzani wa Yanga kwenye hatua ya makundi klabu bingwa Afrika, ambapo CR Belouizdad atacheza mechi zake mbili hivi karibuni kabla ya kucheza na Yanga kwenye CAFCL.

Khalil Ben Youssef anaisoma CR Belouizdad kiufundi zaidi kwa kimfumo na kimuundo na ripoti itarudi mapema kwa Master Miguel Gamondi.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *