Yanga Yamfunga Stand United Bao 8, Yamfuata JKT Tanzania Nusu Fainali Kombe la CRDB

 

Wananchi, Young Africans Sc wameifuata JKT Tanzania kwenye nusu fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB (FA Cup) kufuatia ushindi mnono wa 8-1 dhidi ya Stand United katika dimba la KMC Complex kwenye mchezo wa robo fainali.

Yanga Sc 8-1 Stand United

⚽ 16’ Aziz Ki

⚽ 20’ Kibabage

⚽ 32’ Chama

⚽ 39’ Chama

⚽ 51’ Aziz Ki

⚽ 60’ Aziz Ki

⚽ 63’ Aziz Ki

⚽ 87’ Musonda

⚽ 49’ Msenda

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *