YANGA YAFUNGUKA SABABU ZA KUPATA USHINDI MDOGO KENGOLD

 

Ofisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema wachezaji wao wamekuwa wakipata shida kucheza katika Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya kutokana na ubovu uliopo katika pitch.

“Hii ni changamoto ambayo inafahamika misimu na misimu si uwanja mzuri na rafiki kwa wachezaji ambao wanatumia ila kikubwa tumeondoka na alama tatu,” amesema Kamwe.

Yanga jana ulipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ken Gold ya mjini Mbeya.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *