YANGA WAINGILIA DILI LA MPANZU KWENDA SIMBA, MWENYEWE ABAKI NJIA PANDA

YANGA WAINGILIA DILI LA MPANZU KWENDA SIMBA, MWENYEWE ABAKI NJIA PANDA

Mchezaji wa klabu ya AS Vita Elie Mpanzu amenukuliwa akizungumza kuhusu yeye kusajiliwa na klabu za Tanzania.

“Ni kweli Yanga wamenifuata wakati naendelea na mazungumzo na klabu ya Simba lakini bado sijaamua maamuzi ya mwisho wapi pakwenda”

“Timu zote Simba na Yanga zimenifuata lakini muda wa usajili bado,hivyo nina muda wa kutosha kufanya maamuzi wapi pakwenda Simba au Yanga” AMESEMA Elie Mpanzu.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *