Mzize goli (9) Top Scorer✍️
Dube goli (8) second Top Scorer✍️
Pacome goli (8) second Top Scorer✍️
Yanga ndo timu iliyofunga goli nyingi kwenye ligi (42)✍️
Yanga ndo kinara wa ligi wakiwa na alama (45)✍️
Yanga wana-control kila takwimu ya NBC😄