Mchambuzi wa michezo @ashrafjr_ anasema timu ya Yanga ndiyo timu bora NBCPL kwasasa.
”Kwakutumia hoja ya kawaida tu, Yanga sc ndiyo timu bora na hatari kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania bara.
Hii ndiyo timu ambayo imefunga magoli mengi kuliko timu yoyote kwenye ligi kuu, hii inaonyesha hii ndo timu yenye safu bora ya ushambuliaji.
Yanga sc ndo timu ambayo inaongoza kwenye msimamo wa ligi kuu, bila shaka hii ni sababu pia inayoibeba hoja ya juu kuwa Yanga ndo timu bora na hatari kwenye ligi.
Awalys wanacheza mpira unaovutia, ni raha kuiangalia Yanga sc ikiwa uwanjani.” Ashrafjr
WEWE YANGA UNAIONAJE???
NB: MAGOLI SAFI BILA MBELEKO😂