Yanga Kumfunga SIMBA Haitakuwa Ajabu, Ila Simba Kumfunga Yanga…..

 

Yanga Kumfunga SIMBA Haitakuwa Ajabu, Ila Simba Kumfunga Yanga.....

Mchambuzi wa Soka Farhan Kihamu @jr_farhanjr anasema kuelekea mechi ya tarehe 19 Simba Vs Yanga kama ikatokea Yanga ikamfunga Simba haitokuwa story lakini kama Simba ikamfunga Yanga itakuwa Story

.

Maana yake nafasi kubwa ni Yanga kumfunga Simba kuliko Simba kumfunga Yanga, Unakubaliana na Farhan

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *