Yanga Kuachana na Kiungo Mkabaji Jonas Mkude…

Yanga Kuachana na Kiungo Mkabaji Jonas Mkude...

Kiungo Mkabaji Jonas Gerald Mkude inadaiwa kuwa hatokuwa tena Sehemu ya Kikosi cha Yanga kwa Msimu Ujao na hii ni baada ya Kandarasi yake ya Mwaka Mmoja Kutamatika klabuni hapo,

Mazungumzo ya kuongeza Mwaka Mwingine yakianza ila Kocha Mkuu aliamua kusitisha na sasa Rasmi Wameachana nae.
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *