March 20, 2026

Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc wamelazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya TP Lindanda

0
maxresdefault (22)

Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc wamelazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya TP Lindanda, Pamba Jiji FC katika dimba la CCM Kirumba, Mwanza kwenye mchezo wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara.

Sare hiyo ya nne ya msimu kwa Simba Sc inaipeleka Simba Sc mpaka nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi alama 28 baada ya mechi 13, alama 9 nyuma ya vinara, Yanga Sc wenye michezo miwili zaidi.

FT: Pamba Jiji FC 1-1 Simba Sc
⚽ 35’ Mwashinga
⚽ 32’ Anicet Oura

FT: Mashujaa FC 0-0 Azam FC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *