So far Fei Toto bado hajasaini mkataba na Simba wala Yanga✍️
Wiki iliyopita Yanga walifanya kikao na famili ya Fei ili kumaliza tofauti zao.
Mpaka sasa Fei ana ofa zote mbili kutoka Simba na Yanga Ila bado hajasaini popote✍️
Wasimamizi wa Fei wanapitia ofa zote mbili ili kufanya maamuzi sahihi mwishoni mwa msimu.
Azam nao wametia ofa nzito ili kumbakisha kijana ingawa ni ngumu sana Fei kubaki Azam.