Wanayanga Wamchangia Ally Kamwe Faini yake ya Milioni 5

Wanayanga Wamchangia Ally Kamwe Faini yake ya Milioni 5

 Wanachama na Mashabikiwa Yanga wamechanga kiasi cha shilingi Milioni 5 kwa ajili ya faini ambayo ametakiwa kulipa afisa habari wa Yanga Ally Kamwe na Kamati ya Maadili ya TFF.

Ally Kamwe leo amekabidhiwa kiasi hicho cha Milioni 5 na laki 2 kwaajili ya kwenda kulipa faini hiyo.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *