Wanaongoza Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025

Camara Vs Diara
Camara Vs Diara

Wanaongoza Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025

Clean Sheet kwenye ulimwengu wa soka inachukuliwa kua ni hari ya timu inapokutana na timu pinzani na golikipa kuto ruhusu goli kuweza kungia kwenye lango lake hadi kumalizika kwa mchezo. Hivyo basi golikipa atakaye maliza msimu kwa kutoruhusu wavu wake kutikiswa na timu pinzani mara nyingi huchukuliwa kama kinara wa clean sheets kwenye ligi.

Kwa msimu uliopita wa 2023/2-24 tuliona golikipa wa klabu ya Coastal Union mwenye uraia wa Congo, Ley Matamp ndiye aliyeibuka kidedea kama golikipa bora wa msimu huku akifuatiwa na golikipa kutoka klabu ya Yanga Djigui Diarra raia wa MALI.

Msimu mpya wa 2024/2025 wa ligi kuu ya NBC Tayali umesha anza kutimua vumbi na rekodi mbalimbali zimesha anza kutengenezwa na wachezaji kutokana na nafasi zao, kama vile vinara wa magoli, vinara wa assist na pia hata magolikipa mwenye clean sheets nyingi zidi kwenye ligi kuu ya NBC msimu huu mpya wa 2024/2025. Tumeshuhudia hadi sasa golikipa kutoka klabu ya Simba Pinpin Camara ndinye amekua mwiba wa clean Sheets akifuatiwa na Patrick Munthari kutoka klabu ya Mashujaa.

Katika Makala hii, tumekuandalia orodha ya Magolikipa wanaoongoza kwa kutoruhusu magoli.

Moussa Camara – Simba SC = 16.
Djigui Diarra – Yanga SC = 15.
Patrick Muthali – Mashujaa FC – 12.
Mohamed Mustapha – Azam FC = 10.
Yona Amosi – Pamba Jiji = 09.
Yakoub Suleiman – JKT Tanzania = 08.
Metacha Mnata – Singida Black Stars = 07.
Ngeleka Katumbua – Dodoma Jiji = 07.
Mussa Mbisa – Tanzania Prisons = 04.
Zuberi Foba – Azam FC = 04.
Denis Donis – JKT Tanzania = 03.
Fabien Mutombora – KMC FC = 03.
Aboutwalib Mshery – Yanga SC = 03

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *