WamefungwaTena…Hali ni Mbaya Manchester United, Michezo Mitano iliyopita, Wameshinda Moja

Manchester United vs West Ham
Manchester United vs West Ham

WamefungwaTena…Hali ni Mbaya Manchester United, hivyo ndio tunavyoweza kusema, West ham wameshinda bao moja dhidi ya Man United 07 May 2023

Manchester United kwenye michezo mitano iliyopita wameshinda mchezo mmoja tu.
✅ vs. Nottingham Forest
❌ vs. Sevilla
🤝 vs. Spurs
❌ vs. Brighton
❌ vs. West Ham
Trouble on the road, hali ni mbaya sana😀
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *