January 25, 2026

Wakala wa Wachezaji Afrika Afunguka Tatizo la Simba “Uongozi Ndio Shida”

0
EOUJy-wWoAU8Fhu.jpg

Wakala wa Wachezaji barani Afrika Faustino Mukandila ameka maoni yake kwenye post ya Hans Rafael kuhusu Simba kuwa timu pekee mpaka sasa ambayo haijapata alama hata Moja kwenye CAFCL

Faustino amesema maoni yake kwa kuandika

“You can’t change a whole team that went to Cafcc in one day. Pb of simba is the leadership. It’s need to be said. Too many are amateurs.”

Akimaanisha

“Huwezi kubadilisha timu nzima iliyoenda fainali ya CAFCC kwa siku moja. tatizo la Simba ni uongozi. Inapaswa kusemwa. Wengi sana ni wachezaji wasio na uzoefu.”

Faustino Mukandila amewahi kuleta wachezaji kadhaa Simba akiwemo Fabrice Ngoma na Jean Baleke lakini pia wachezaji wake wengine ambao wamewahi kucheza Tanzania ni pamoja na Djuma Shaban na Yannick Bangala (Yanga SC) na Gbrill Silah (Azam FC).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *