Tetesi zinaeleza kuwa Viongozi wa timu ya RS Berkane wakiongozwa na Mwenyekiti wa timu Bwana Fauzi Lekia wamepeleka Barua Caf kwaajili ya kufanya uchunguzi uwanja wa benjamin Mkapa ili fainali hata kama ikipigwa hapo wafanye uchunguzi zaidi.
Taarifa zinakwenda mbali sana zinasema huwenda Fainali hiyo ya pili isipigwe kwenye uwanja wa huo na ukapigwa katika Dimba la New Amaan Zanzibar.
Mwenyekiti huyo pia ni Kiongozi wa Caf kama Makamu wa Rais wa Caf, pia ni Waziri wa Fedha na Bajeti katika nchi ya morocco.
ALSO READ : Manara Yamkuta Makubwa, Afungiwa Ofisi za Manara TV na GSM Baada ya Kuvujisha Siri, Minyororo Yapigwa