MCHAMBUZI wa michezo Hans Rafael amegusia suala la waamuzi wa mpira Tanzania, Hans amesema
“Miaka 100,TZ tuna shida ya waamuzi,mpira ni mchezo wa contact lazima watu wagusane siyo kila mguso ni faulo,ndio maana kuna kitu kinaitwa pressing ila leo KMC tunashuhudia vituko kila contact Kefa Kayombo anaweka kuweka faulo,mpira umekuwa na vipenga vingi ambayo havina sababu”
“Kuna muda unatamani kuona mpira ukifloooo ila refa yuko bize na faulo za ajabu”