Shirikisho la mpira duniani FIFA imetoa viwango vya FIFA vya mwezi Oktoba 2024, huku Tembo wa Afrika Ivory Coast hawapo tena kwenye 5 Bora barani Afrika.
Afrika inaongozwa na Morocco, ambayo inashikilia nafasi ya kwanza ikifuatiwa na Simba wa Senegal wa Teranga, Mafarao wa Misri, na Super Eagles wa Nigeria.Tanzania ikiwa nafasi ya 27 kwenye orodha hiyo.
Viwango vya FIFA barani Afrika mwezi Oktoba 2024;
1. Morocco ๐ฒ๐ฆ (13)
2. Senegal ๐ธ๐ณ (20)
3. Egypt ๐ช๐ฌ (30)
4. Nigeria ๐ณ๐ฌ (36)
5. Algeria ๐ฉ๐ฟ (37)
6. Ivory Coast ๐จ๐ฎ (40)
7. Tunisia ๐น๐ณ (47)
8. Cameroon ๐จ๐ฒ (49)
9. Mali ๐ฒ๐ฑ (50)
10. DR Congo ๐จ๐ฉ (57)