Vita ya Matajiri wa Yanga na Simba Nje ya Uwanja Kisa Fei Toto

Vita ya Matajiri wa Yanga na Simba Nje ya Uwanja Kisa Fei Toto

Vita ya Matajiri wa Yanga na Simba Nje ya Uwanja Kisa Fei Toto

Kuna bato la maana linaendelea nje ya uwanja kati ya Simba SC na Yanga SC na safari hii sio kwa wachezaji au makocha, bali matajiri wawili wa klabu hizo wakichonganishwa na kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ ambaye saini yake inawindwa na mabosi.

Matajiri hao waliongia vitani ni bilionea Mohamed ‘MO’ Dewji anayepambana na mwenzake wa Yanga SC, Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ kila mmoja akipigana kivyake kuwania huduma ya kiungo huyo wa Azam FC ambaye inaelezwa amechomoa kuongeza mkataba mpya Chamazi ili asepe.

Fedha ambazo Fei Toto amewekewa na klabu hizo ukiongeza na mvuto wa watani hao ni vigumu kwake kubaki ndani ya klabu yake msimu ujao.

Mwanaspoti

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *