Klabu ya soka ya Azam, imetangaza kuwapa mkono wa kwaheri wachezaji wanne na kuwatakia kila la kheri kwenye safari yao ya soka.
Wachezaji hao ambao wamepewa ‘thank you’ leo ni Ayoub Lyanga, Edward Manyama, Malickou Ndoye na Issa Ndala.
Habari za Michezo Kutoka Tanzania na Soka la nje