๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐
โ
Msimu uliopita Jean Charles Ahoua akiwa na Stella Club de Abidjan alifanikiwa kupachika mabao (12) huku akitoa pasi (9) za usaidizi wa mabao akuhusika kwenye mabao (21).
โ
Mpaka sasa ndani ya Simba Ahoua amehusika kwenye jumla ya mabao (22) baada ya kufunga mabao (15) na kutoa pasi za usaidizi wa mabao (7).
โ
Ukitazama takwimu za Ahoua hadi sasa ana asilimia kubwa ya kuwa MVP wa Ligi kuu ya NBC 2024/25 pamoja na kuwa Mfungaji bora.
๐ก๐: ๐๐ต๐ผ๐๐ฎ ๐ฎ๐น๐ถ๐ธ๐๐๐ฎ ๐ ๐ฉ๐ฃ ๐ฎ๐ธ๐ถ๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ฆ๐๐ฒ๐น๐น๐ฎ ๐๐น๐๐ฏ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐ป๐ฎ ๐ธ๐ถ๐น๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐น๐ถ๐น๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ ๐ ๐ฉ๐ฃ ๐ฎ๐ธ๐ถ๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ฆ๐ถ๐บ๐ฏ๐ฎ ๐ฆ๐ ๐บ๐๐ถ๐บ๐ ๐ต๐๐..