![]() |
TIMU ZILIZOFUZU KUINGIA MAKUNDI CLUB BINGWA CAF |
TIMU ZILIZOFUZU KUINGIA MAKUNDI CLUB BINGWA CAF CHAMPION LEAGUE
Ligi ya Mabingwa wa Afrika, maarufu kama CAF Champions League, ni moja ya mashindano maarufu zaidi barani Afrika, yanayohusisha timu bora kutoka mataifa mbalimbali kuwania ubingwa wa bara hili. Msimu wa 2024/2025 umeanza kwa shauku kubwa, huku timu kadhaa zikifanikiwa kupata tiketi ya kushiriki katika hatua ya makundi baada ya mechi kali na zenye ushindani mkubwa. Hapa Habariforum tutakuletea orodha kamili ya vilabu vyote vitakavyojipatia tiketi ya kushiriki hatua ya Makundi katika michuano ya klabu bingwa ya CAF.
- CR Belouizdad ๐ฉ๐ฟ
- TP Mazembe ๐จ๐ฉ
- AS Maniema ๐จ๐ฉ
- Al Ahly ๐ช๐ฌ
- Mamelodi Sundowns ๐ฟ๐ฆ
- Orlando Pirates ๐ฟ๐ฆ
- ES Tunis ๐น๐ณ
- Pyramids FC ๐ช๐ฌ
- MC Alger ๐ฉ๐ฟ
- Raja Club Athletic ๐ฒ๐ฆ
- GD Sagrada ๐ฆ๐ดDjoliba AC ๐ฒ๐ฑ
- Stade dโAbidjan ๐จ๐ฎ
- Young AFricans Sc ๐น๐ฟ
Hongera YANGA SC kwa kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.