Timu ya Hispania Yatwaa Ubingwa EURO 2024, Yaichapa England

 
Timu ya Hispania Yatwaa Ubingwa EURO 2024, Yaichapa England

Timu ya Taifa ya Uhispania imeweka rekodi ya kuwa timu iliyotwaa Ubingwa wa #UEFAEuro mara nyingi zaidi (mara 4) baada ya kuifunga England magoli 2-1 katika mchezo wa Fainali ya #UEFAEuro2024

Nico Williams alianza kuifungia Uhispania dakika ya 47, Cole Palmer akasawazisha dakika ya 73 kisha Mikel Oyarzabal akafunga goli la ushindi katika dakika ya 86
Matokeo hayo ni mwendelezo wa matokeo mabaya kwa England katika Fainali za michuano hiyo kwa kuwa ilipoteza pia Fainali zilizopita za Mwaka 2020 kwa kufungwa na Italia kwa penati
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *