Posted inMichezo Tetesi: Fred Michael kumfuata Benchikha USM Alger August 21, 2024No Comments Huenda muda wowote kutoka sasa mshambuliaji Fred Michael Koublan akajiunga na USM Alger ya Ligi Kuu Algeria. USM Alger wanataka kumsajili Fred kama mbadala wa Leonel Ateba aliyetimkia Simba SC. Post navigation Previous Post Kocha Nabi Atua Makao Makuu Jangwani, Asema “Yanga hii itabeba Ubingwa wa Afrika”Next PostDau la FISTON Mayele Limepanda, Tanzania Hakuna Timu Inatakayo Weza Kumsajili