Tanzania Yachapwa na Kenya Kombe la Mapinduzi CUP

Tanzania Yachapwa na Kenya Kombe la Mapinduzi CUP

Tumu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imeaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi kufuatia kipigo cha 2-0 dhidi ya Kenya ikiwa ni ni kipigo cha pili mfululizo baada ya kuanza kwa kipigo cha 1-0 dhidi ya Zanzibar Heroes.

Hata hivyo Kilimanjaro Stars licha ya shughuli Yao kuishika hapa bado wana mchezo mmoja wa kukamilisha ratiba, dhidi ya Burkina Faso.
FT: TANZANIA 🇹🇿 0-2 🇰🇪 KENYA
⚽ 56’ Boniface Muchiri
⚽ 68’ Ryan Ogam
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *