Takwimu za washambuliaji wa klabu za Simba na Yanga kwa msimu huu wa Ligi kuu 2024/25 Tanzania Bara hadi hivi sasa;
CLEMENT MZIZE [Yanga]
– Magoli saba [7]
– Pasi za mwisho tatu [3]
– Mchezaji bora wa Mwezi moja [1].
– Mchezaji bora wa Mchezo moja [1].
LEONEL ATEBA [Simba]
– Magoli saba [7].
– Pasi za mwisho mbili [2]
– Mchezaji bora wa mwezi 0
– Mchezaji bora wa Mchezo tatu [3].
PRINCE DUBE [Yanga]
– Magoli 5
– Pasi za mwisho 3
– Mchezaji bora wa mwezi 0
– Mchezaji bora wa mchezo 1
STEVEN MUKWARA [Simba]
– Magoli 4
– Pasi za mwisho 2
– Mchezaji bora wa mwezi 0
– Mchezaji bora wa mchezo 0.