Timu ya Nigeria Siku Hizi Hakuna Kitu, Wachapwa na Congo Kumbe la Dunia Play Off
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 | PenaltiesNIGERIA 🇳🇬 3-4 DR CONGO 🇨🇩❎️ Bassey❎️ Simon✅️ Adams✅️ Onyemechi✅️ Ejuke❎️ Ajayi. ❎️ Moutoussamy✅️ Sadiki❎️️ Tuanzebe✅️ Mayele✅️ Balikwisha✅️ Mbemba DR Congo 🇨🇩 wametoboa na sasa wanaendelea na PlayOff kama wawakilishi wa Afrika kwenye Intercontinental PlayOff
Klabu Hizi Zaingia Tatu Bora Tuzo ya Klabu Bora Afrika Tuzo za CAF…Simba Out
Klabu ya Simba imeondolewa katika kinyang’anyiro cha kuwania Tuzo ya Klabu Bora Afrika ambapo CAF imetangaza timu tatu zilizoingia fainali ya kuwania tuzo hiyo. Klabu zilizoingia fainali ni Pyramid(Misri), RS Berkane( Morocco) na Mamelodi Sundown(Afrika Kusini)
Kapombe Fungu la Kukosa, Atupwa Nje Mchezaji Bora Afrika, Fiston Mayele Aingia Tatu Bora
Nahodha wa Simba Sc, Shomari Kapombe ameondolewa kwenye kinyang’anyiro cha wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashindano ya Klabu za Afrika wa mwaka 2025 huku Fiston Kalala Mayele akiendelea kusalia kwenye kinyang’anyiro hicho. Mayele anayechezea Pyramids ya Misri ni miongoni mwa wachezaji watatu wanaowania tuzo hiyo sambamba naMohamed Chibi pia wa Pyramids na Oussama Lamlioui…
Boli la Morice Abraham Sio la Nchi Hii, Shauku Yaongezeka Simba
Katika mechi ya hivi karibuni, Morice Abraham amejitokeza kama mchezaji wa namna yake baada ya kupiga boli la kushangaza lililomkosha kiungo wa timu pinzani, likiwa gumzo kwa mashabiki na wachambuzi wa soka. Hii si mara ya kwanza kwa Morice kuonyesha ubora wa mbio zake, timing, na uwezo wa kushangaza wachezaji wa kati. Katika tukio hili,…
Kocha Simba Awakataa Wachezaji Hawa, Sababu hizi Zatajwa
Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba SC ameanza rasmi kufanya marekebisho ndani ya kikosi chake baada ya kufanya tathmini ya awali kuhusu wachezaji waliopo katika timu. Taarifa kutoka kwa chanzo cha kuaminika ndani ya klabu hiyo zinasema kocha huyo tayari amezungumza na uongozi wa Simba akieleza mpango wa kupunguza idadi ya wachezaji, huku akipendekeza baadhi…
Habari Njema Kwa Yanga, Clement Mzize Aonekana Akifanya Mazoezi
Habari njema imewajia mashabiki wa klabu ya Young Africans kufuatia kuonekana kwa kiungo wao mahiri Clement Mzinze akifanya mazoezi mepesi baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na majeraha. Kuonekana kwake uwanjani kumezua matumaini makubwa na ishara kwamba furaha ya wananchi huenda ikarejea mapema zaidi ya ilivyotarajiwa. Mzinze, ambaye ni mmoja wa…
Basi Jipya la Simba Usipime, Jayrutty Kulikabidhi Hivi Karibuni
Klabu ya Simba SC inaendelea kuonesha dhamira ya kuwekeza kwa kiwango cha juu ndani na nje ya uwanja baada ya taarifa mpya kuthibitisha kuwa basi jipya aina ya Scania Irizar tayari limeshanunuliwa. Basi hilo ni sehemu ya ahadi iliyotolewa awali na mfadhili maarufu Jayrutty, na sasa liko katika hatua za mwisho kabla ya kukabidhiwa rasmi…
Mshambuliaji wa Simba Steven Mukwala Kutimkia Raja Casablanca
Mshambuliaji matata wa Simba SC, Steven Mukwala, anadaiwa kuwa mbioni kutua Raja Casablanca ya Morocco katika dirisha dogo la usajili. Inaelezwa kuwa kocha wa Raja, Fadlu Davids, ambaye aliwahi kumfundisha Simba, ndiye anayepanga “kumpora” nyota huyo kutoka Msimbazi. Vyanzo vya karibu na klabu vinaeleza kuwa Simba wako tayari kumuachia Mukwala kutokana na uwepo wa washambuliaji…
Waamuzi Waondolewa Kwa Kutafsiri Vibaya Sheria za Mchezo
Mwamuzi wa kati, Amina Kyando kutoka Morogoro na mwamuzi msaidizi namba mbili (2), Abdalah Bakenga kutoka Kigoma wameondolewa kwenye orodha ya waamuzi kwa mizunguko mitano kwa kosa la kushindwa kutafsiri vema sheria za mpira wa miguu na kushindwa kuchukua hatua kwa vitendo vya ukiukwaji wa sheria za mpira kwenye mchezo wa Ligi Kuu kati ya…
Mchezaji Ibrahim Bacca Kuikosa Mechi ya Kariakoo Derby
Mchezo wa Young Africans dhidi ya Tanzania Prisons ulikuwa unakamilisha michezo mitano (5) ya Mlinzi Ibrahim ‘Bacca’ kwenye adhabu yake aliyopewa kwenye mchezo wa ligi kuu baada ya kumchezea vibaya Ibrahim Ame wa Mbeya City, Kwa bahati mbaya mchezo huo ukasogezwa mbele mchezo huo kunamfanya Bacca kuukosa mchezo wa Derby dhidi ya Simba utakaopigwa December…
