SIMBA YATINGA FAINALI SHIRIKISHO AFRIKA
Mchezo wa Leo uliochezwa nchini South Afrika Matokeo yake ni FT: Stellen B 0-0 Simba
Matokeo hayo yanafanya Agg: 0-1 hivyo Simba inakwenda Moja Kwa Moja Fainali…..
Ubaya Ubwela…..
Habari za Michezo Kutoka Tanzania na Soka la nje