Simba Yarudi Kileleni, Chasambi Afuta Lawama Kibabe….

Simba Yarudi Kileleni, Chasambi Afuta Lawama Kibabe....

Shomari Kapombe amechaguliwa kuwa nyota wa mchezo baada ya kutoa pasi saidizi ‘assists’ mbili wakati Msimbazi wakirejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu bara kufuatia ushindi mnono wa 3-0.
Jean Charles Ahoua kufunga bao lake la 8 la msimu huku mgeni rasmi wa mchezo huo Ladaki Chasambi akirekebisha makosa ya mechi iliyopita kwa kufunga bao moja wakati Elie Mpanzu Kibisawala akifungua akaunti yake ya magoli kwenye Ligi Kuu bara.
FT: Simba Sc 3-0 TZ Prisons
⚽ 29’ Ahoua
⚽ 44’ Mpanzu
⚽ 45+2’ Chasambi
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *