Simba Wafunguka Kufanyiwa Vigisu na Pamba Wakishirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza

Uongozi wa Simba umesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana vilivyofanywa na viongozi wa Pamba FC kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kwa kutumia askari polisi mkoani humo.

Klabu ya Simba imeendelea kwa kueleza kuwa Mhe. Mtanda ni mlezi wa timu ya Pamba Jiji FC na shabiki wa wazi wazi wa timu ya Yanga.

Simba imelaani vitendo vya matumizi ya dola katika mpira wa miguu na kuwakumbusha viongozi wenye mamlaka kutumia vizuri mamlaka yao.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *