Simba Mdebwedo tia tia Maji.. Shughuli ya Simba Msimu Huu Imeishia Mtwara Nangwanda Sijaona, Wafungwa

Simba Mdebwedo tia tia Maji.. Shughuli ya Simba Msimu Huu Imeishia Mtwara Nangwanda Sijaona, Wafungwa
Simba Vs Azam FC

Shughuli ya Simba Msimu Huu Imeishia Mtwara Nangwanda Sijaona, Azam FC Wanatinga Nusu Fainali ya Azam Sports Federation Cup , Wanasubiri Mshindi Kati ya Yanga na Singida Big Star

FULL TIME: SIMBA 1:2 AZAM 

Magoli ya Leo Yamefungwa na Wachezaji Hawa:

Lusajo Mwaikenda 22

Sadio Kanoute 28

Prince Dube 75

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *