Simba Kwenye Ligi Hana Makali, Ajipange Mechi Zilizosalia…..

Baada ya Simba Sc kupata ushindi wa bao 2-1 jana dhidi Mashujaa sasa amesalia na viporo vitatu (3) kuwafikia Young Africans michezo 26 huku ikisalia michezo minne (4) kwenda sawa mzunguko wa Ligi Kuu wa michezo 27.

Michezo ya viporo inayofata ya Mnyama:-

=> Dhidi ya JKT Tanzania (A), Mei 02, 2025.

=> Dhidi ya Pamba Jiji (H), Mei 05, 2025.

=> Dhidi KMC (A), Mei 11, 2025.

=> Dhidi ya Yanga Sc (A), HAIJAPANGIWA TAREHE BADO.

NB:- Kiukweli Mnyama ajipange kwa lile mbungi la jana wajipange kwelikweli maana mmh watu wameamua kukaza kamba

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *