Samatta Sio Tegemezi Klabu ya PAOK, Aachwa Wakienda Kuikabili Man United

Mshambuliaji waa Timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya PAOK ya nchini Ugiriki, Mbwana Samatta @samagoal77 hajajumuishwa miongoni mwa wachezaji wa timu hiyo watakaovaana na Manchester United ya Uingereza kwenye mchezo leo wa Europa kwenye dimba la Old Trafford.

Samatta amekuwa hapewi nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye kikosi cha PAOK na hakusafiri kabisa na timu hiyo kuelekea jijini Manchester kwenye mchezo huo wa raundi ya 4 ya Europa.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *