Sakala la Elie Mpanzu Kuwa Simba Kwa Mkopo, AS Vita Kumuuza Kwingine

Sakala la Elie Mpanzu Kuwa Simba Kwa Mkopo, AS Vita Kumuuza Kwingine

Inasemekana uongozi wa simba unawasumbua sana Klabu ya As Vita Club kutaka kumsajili moja kwa moja Elie Mpanzu

Klabu ya As Vita imesha wajibu mara kadhaa kwamba kijana huyo wameshafanya biashara yake mapema sana.

Ila kinacho wachanganya Viongozi wa Simba awajui iyo biashara As Vita Club wameifanya na timu gani hapo ndipo wanachanganyikiwa

Kiufupi tu Elie Mpanzu yuko kwa Mkopo wa miezi 6 pale msimbazii sasa na biashara ya kuuza Elie Mpanzu ishafanyika

Kwaiyo kilicho baki hapo ni mwishoni mwa msimu huu Elie Mpanzu ataenda kujiunga na hiyo timu yake mpya,

NB! Haijafahamika ameuzwa kwenda timu gani lakini uongozi wa Msimbazi unapambana kutaka kumsajili moja kwa moja, lakini As Vita club wamesema huyo siyo mchezaji wao tena.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *