Refarii Hery Sasii Afungiwa Miezi Sita Kuchezesha Mpira

Mwamuzu wa kati wa mchezo ligi kuu ya NBC kati Simba SC dhidi ya Singida black Stars, Hery Sasii amefungiwa miezi sita (6) kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo huo baada ya kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa kutafsiri vema sheria 17 za mpira wa miguu.

Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 42:1(1.1) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Waamuz

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *