Klabu ya Pyramids ya Misri imetwaa kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza kihistoria baada ya kuilaza Mamelodi Sundowns kwa magoli ya jumla ya 3-2 kwenye fainali.

Sundowns ikilazimishwa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza katika dimba la Loftus Versfeld, Pretoria Afrika Kusini kabla ya kulala 2-1 katika dimba la Juni 30, Cairo Misri kwenye mchezo wa marudiano.

FT: Pyramids 🇪🇬 2-1 🇿🇦 Mamelodi Sundowns (Agg. 3-2)
⚽ 23’ Mayele
⚽ 56’ Samy
⚽ 75’ lqraam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *