Joto Zanzibar laitesa Berkane
WAKATI kikosi cha RS Berkane kutoka Morocco kikijipanga kuivaa Simba SC katika fainali ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika, hali ya hewa ya Zanzibar inaonekana kuwatesa Waarabu hao. Kwa…
Sports News From Tanzania
WAKATI kikosi cha RS Berkane kutoka Morocco kikijipanga kuivaa Simba SC katika fainali ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika, hali ya hewa ya Zanzibar inaonekana kuwatesa Waarabu hao. Kwa…
Victor Osimhen anasimulia namna alivyomsaidia rafiki yake wa utotoni kiasi cha pesa lakini hakuonekana kukithamini. Osimhen anasema: “Nilikuwa nikituma pesa kwa rafiki yangu mmoja wa utotoni, lakini siku moja, aliniambia…
Meneja wa Manchester United, Ruben Amorim amewaambia wachezaji wa klabu hiyo kwamba ataendelea kusalia kuwa kocha wa klabu hiyo msimu ujao huku akiripotiwa kumwambia winga Alejandro Garnacho kutafuta klabu nyingine.…
Klabu ya Sunderland imepanda daraja kwenda Ligi Kuu England msimu ujao wa 2025/26 baada ya miaka 8 kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Sheffield United katika dimba la Wembley kwenye…
YANGA inaendelea na mkakati wa kuuza mastaa na sasa staa mwingine ambaye anapasua vichwa vya mabosi ni kipa Djigui Diarra.Taarifa za Diarra ni kwamba ana hesabu za kutaka kuachana na…
Kwenye mchezo wa fainali Kombe la Shirikisho Afrika Kati Simba na RS Berkane utakaochezwa kwenye uwanja wa Amaan Complex kuanzia saa 10:00 Jioni, Shabiki huruhusiwi kwenda na vitu vyilivyotajwa kwenye…
NI Jumapili ya kihistoria. Macho na masikio ya Afrika yapo Zanzibar. Baada ya kufungwa mabao 2-0 ugenini, Simba inalazimika kushinda kwa tofauti ya mabao matatu iwapo inataka kutwaa taji hili…
KLABU ya Wydad imewatambulisha nyota watatu wapya, akiwamo aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki waliojiunga na timu hiyo inayojiandaa na Michuano ya Kombe la Dunia kwa Klabu 2025…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuizawadia Klabu ya Simba, Dola za Marekani 100, 000 (Sh279 milioni) endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa…
Nahodha wa Manchester United Bruno Fernandes atapewa muda hadi wiki ijayo kuamua kama anataka kuondoka katika klabu hiyo, huku Al Hilal wakipanga kutoa takriban £100m kwa mchezaji huyo wa kimataifa…